UKOPAJI WA LUGHA: ETIMOLOJIA NA MABADILIKO YA MAANA NA UTAMKAJI WA MSAMIATI WA KIARABU KATIKA KISWAHILI
Journal: International Journal of Advanced Research (Vol.7, No. 9)Publication Date: 2019-09-02
Authors : Hamisi Babusa.;
Page : 101-105
Keywords : International Journal of Advanced Research (IJAR);
- UKOPAJI WA LUGHA: ETIMOLOJIA NA MABADILIKO YA MAANA NA UTAMKAJI WA MSAMIATI WA KIARABU KATIKA KISWAHILI
- UREJELEOMATINI KATIKA UWASILISHAJI WA MAUDHUI YA DHULUMA KATIKA RIWAYA YA MSICHANA WA MBALAMWEZI (K.W.WAMITILA)
- UTATHIMINI WA MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA ZILIZOTEULIWA KUTAHINIWA KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYA: MSTAHIKI MEYA (2009) NA KIGOGO (2016)
- MIELEKEO YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU NA CHA NNE KUHUSU METHALI KINZANI: UCHUNGUZI KATIKA SHULE ZA UPILI KATIKA KATA YA TOWNSHIP, KAUNTI YA KITUI; KENYA
- MIELEKEO YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU NA CHA NNE KUHUSU METHALI KINZANI: UCHUNGUZI KATIKA SHULE ZA UPILI KATIKA KATA YA TOWNSHIP, KAUNTI YA KITUI; KENYA
Abstract
Pindi wazungumzaji wa lugha mbili wanapotagusana na kuingiliana basi moja kwa moja lugha hizo huweza kukopana na kuathiriana kifonolojia, kimsamiati na kisarufi. Waarabu walipofika pwani ya Afrika Mashariki, walikumbana na Waswahili na hapo ndipo Kiswahili kikakopa maneno na sauti za kiarabu ambazo hazikuwepo katika lugha ya Kiswahili. Pili, Kiswahili pia kikachukua baadhi ya sauti za kiarabu na kuzibadili jinsi zinavyotamkwa. Makala haya yanatafiti na kuainisha etimolojia ya baadhi ya maneno ya kiarabu yanayopatikana katika lugha ya Kiswahili na jinsi sauti za kiarabu zilivyokopwa na kubadilishwa na kuswahilishwa.na pili namna baadhi ya maneno yalivyobadilishwa maana asilia baada ya kukopwa kutoka lugha ya Kiarabu. Nadharia za mfumo na semantiki tambuzi za msamiati zilitumika.
Other Latest Articles
- EXAMINATION OF ANTIMICROBIAL PEPTIDES FROM SERROGNATHUS TITANUS LARVAE
- ANALYSIS OF REGION POTENCY AND TYPOLOGY OF BEEF CATTLE LIVESTOCK AT GORONTALO REGENCY
- MEASURING STUDENT SATISFACTION THROUGH SERVQUAL: EMPIRICAL STUDY AT BINAWAN UNIVERSITY
- MEASURING STUDENT SATISFACTION THROUGH SERVQUAL: EMPIRICAL STUDY AT BINAWAN UNIVERSITY
- KNOWLEDGE ATTITUDE AND PRACTICE OF LIBYAN PHARMACISTS TOWARDS RULES OF PSYCHOTROPIC AND NARCOTIC DRUGS DISPENSING
Last modified: 2019-10-17 21:02:20